Original Language
Kiswahili
ISBN
978-92-9268-178-4
ISBN (PDF)
978-92-9268-521-8
Number of Pages
182
Reference Number
PUB2023/003/U
Date of upload

18 Feb 2023

Canadian Orientation Abroad Participant Workbook

A pre-departure guide for newcomers to Canada (Kiswahili)

Kitabu cha Mshiriki cha Mwelekeo wa Kanada Nje ya Nchi
Mwongozo wa kabla ya kuondoka kwa mgeni nchini Kanada

Kwa habari zaidi kuhusu programu, tafadhali tembelea ukurasa wa wavuti wa COA web page.

Mpango wa Mwelekeo wa Kanada Nje ya Nchi (COA) ni mpango wa kimataifa unaofadhiliwa na Uhamiaji, Wakimbizi na Uraia Kanada (IRCC) na kutekelezwa duniani kote na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) katika takriban maeneo 100 kila mwaka

Kitabu cha Mshiriki cha COA kina wasilisha taarifa za vitendo ambazo wakimbizi wanahitaji kujua kabla ya kuhamia Kanada ili waweze kufanya maamuzi sahihi kuhusu maisha yao mapya.

Kitabu cha Mshiriki cha COA kilitayarishwa kwa mashauriano na IRCC, shirika la washirika wa nje ambao husaidia wakimbizi, wataalamu wa nyanjani na wamkimbizi wenyewe.

Kitabu cha maelezo kinashughulikia mada kama vile maandalizi ya safari, makazi ya awali na maisha nchini Kanada, ambayo ni pamoja na huduma, makazi, elimu, ajira, bajeti na usafiri. Inataarifa maalumu kuhusu afya ya akili, watu wa kiasili nchini Kanada, mwelekeo tofauti wa kijinsia, utambulisho na kujieleza kwamlinzi, sifa za ngono, pamoja na taarifa kuhusu watu wenye ulemavu. Pia inajumuisha sehemu ya uwili wa lugha ya Kanada na taarifa kuhusu jumuiya za kifaransa. Katika kitabu chote cha kazi, yaliyomo juu ya adabu, haki na wajibu, sheria ya familia na desturi za kitamaduni zime jumuishwa.

For more information about the programme, please visit the COA web page.

The Canadian Orientation Abroad (COA) programme is a global initiative funded by Immigration, Refugees and Citizenship Canada (IRCC) and implemented worldwide by the International Organization for Migration (IOM) in about 100 locations annually.

The COA Participant Workbook presents practical information that refugees need to know before they resettle to Canada, so they can make informed decisions about their new life. Information contained in the workbook is presented in simple language and in a visual manner that both conveys meaning and aids in retention. It is a tool used during in-person pre-arrival orientation sessions and during refugees’ self-study.

The COA Participant Workbook was developed in consultation with IRCC, external partner organizations who assist refugees, field experts and refugees themselves.

The workbook covers topics, such as travel preparation, initial settlement and life in Canada, which includes services, housing, health, education, employment, budgeting and transportation. It contains tailored information on mental health, Indigenous Peoples in Canada, diverse sexual orientation, gender identity and expression, sexual characteristics, as well as information about people with disabilities. It also includes a section on the linguistic duality of Canada and information about Francophone communities. Throughout the workbook, content on diversity, rights and responsibilities, family law and cultural norms is included.

  • Maagizo ya kutumia msimbo wa QR
  • Ishara
  • Mazoezi
  • 1. Maelezo jumla kuhusu Canada
  • 2. Kusafiri
  • 3. Usaidizi na huduma
  • 4. Makazi
  • 5. Afya
  • 6. Elimu
  • 7. Ajira
  • 8. Kutayarisha bajeti
  • 9. Usafiri