World Migration Report 2022: Chapter 1 (Swahili)

Original Language
Swahili
ISBN (PDF)
978-92-9268-386-3
Number of Pages
63
Reference Number
PUB2022/081/L
Date of Publication

05 Ago 2022

World Migration Report 2022: Chapter 1 (Swahili)

Ripoti Hii Ya Uhamiaji Duniani Ya 2022: Muhtasari wa ripoti: Mabadiliko ya kiteknolojia, siasa za kijiografia na kimazingira yanayoathiri uhamiaji na usafiri wetu wa siku zijazo
Also available in:

Uhamiaji wa kimataifa ni tukio changamano linalohusisha vipengele vingi vya kiuchumi, kijamii na kiusalama kote ulimwenguni. Katika sura hii ya maelezo ya kijumla ya chapisho kuu la IOM, Ripoti ya Uhamiaji Duniani 2022, wasomaji wataweza kupata mienendo muhimu, data na habari kwa mtupo wa jicho. Zaidi ya kuwa muhtasari wa kiutendaji tu wa ripoti hii, sura hii ya maelezo ya kijumla inaunganisha "taswira pana" ya kimkakati kuhusu mienendo ya uhamiaji na ufurushwaji na mageuzi mapana ya duniani yanayotokea kote ulimwenguni, hasa yanavyohusiana na mabadiliko ya kiteknolojia, siasa za kieneo, na kimazingira.

Ripoti ya Uhamiaji Duniani 2022 inajaribu kutumia kusanyiko la data, utafiti na uchambuzi wa uhamiaji uliopo kusaidia kujenga msingi wa ushahidi juu ya masuala muhimu zaidi na ya dharura ya uhamiaji ulimwenguni wakati huu, yakiwa ni pamoja na athari ya UVIKO-19 kwa uhamiaji na usafiri. Kutokana na asili yake, mienendo changamano ya uhamiaji ulimwenguni haiwezi kupimwa, kueleweka na kudhibitiwa kikamilifu. Hata hivyo, kama ripoti hii inavyoonyesha, tunalo kusanyiko la data na habari zinazoendelea kukua na kuwa zuri zaidi ambazo zinaweza kutusaidia "kuelewa vizuri" sifa za msingi za uhamiaji katika nyakati zenye mashaka zaidi. Ili kupata habari juu ya mienendo na masuala ya uhamiaji ulimwenguni, Ripoti ya Uhamiaji Duniani (WRM) 2022 ni rejeleo la kuaminika kuliko mengine.  

International migration is a complex phenomenon that touches on a multiplicity of economic, social and security aspects all around the world. In this overview chapter of IOM’s flagship publication, the World Migration Report 2022, readers will be able to access key trends, data and information at a glance. More than just an executive summary of the report, the overview chapter links the strategic “bigger picture” on migration and displacement dynamics to broader global transformations occurring around the world, especially as they related to technological, geopolitical and environmental change.

The World Migration Report 2022 seeks to use the body of available data, research and analysis on migration to help build the evidence base on some of the most important and pressing global migration issues of our time, including on COVID-19 impacts on migration and mobility. By their very nature, the complex dynamics of global migration can never be fully measured, understood and regulated. However, as this report shows, we do have a continuously growing and improving body of data and information that can help us “make better sense” of the key features of migration in increasingly uncertain times. For information on migration trends and issues globally, the World Migration Report (WMR) 2022 is an authoritative reference like no other.