Canadian Orientation Abroad: Economic Mobility Pathways Pilot Participant Workbook (Kiswahili)

Original Language
Kiswahili
ISBN
978-92-9268-674-1
ISBN (PDF)
978-92-9268-673-4
Number of Pages
190
Reference Number
PUB2023/121/R
Date of upload

23 Feb 2024

Canadian Orientation Abroad: Economic Mobility Pathways Pilot Participant Workbook (Kiswahili)

A pre-departure guide for newcomers to Canada

Maelezo Kuhusu Canada Katika Nchi Za Ng’ambo

Majaribio ya Njia za Uhamiaji wa Kiuchumi

Mwongozo wa kabla ya Kuondoka kwa wageni wanaokwenda Canada

Also available in:

Kwa maelezo zaidi kuhusu programu hii, tafadhali tembelea tovuti: COA web page.

Programu ya Maelezo Kuhusu Canada Katika Nchi Za Ng’ambo ni mradi wa Kimataifa unaofadhaliwa na shirika la Uhamiaji, Wakimbizi na Uraia wa Canada (IRCC) unaendelezwa ulimwenguni kote na shirika la Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) katika sehemu 100 kila mwaka.

Kitabu cha Mazoezi ya Washiriki wa Majaribio ya Njia za Uhamiaji wa Kiuchumi kinatoa Habari muhimu ambazo wahamiaji wa kiuchumi wanahitaji kujua kabla ya kuhamia nchini Canada. Hii inawasaidia kuchukua maamuzi yanayofaa kuhusu Maisha yao mapya. Habari hizi muhimu zinaelezwa kwa lugha ambayo ni rahisi kuelewa kwa kutumia michoro an njia ambazo ni rahisi kuelewa. Ni kifaa ambacho hutumika kwa masomo ya uso kwa uso na mwalimu na pia kwa matumizi ya mhamiaji binafsi.

Kitabu cha Mazoezi ya Washiriki wa Majaribio ya Njia za Uhamiaji wa Kiuchumi ilitengenezwa kwa ushirikiano wa shirika la Uhamiaji, Wakimbizi na Uraia wa Canada (IRCC), taasisi zinazotoa msaada wa majaribio ya uhamiaji wa kiuchumi, watalaamu wengine na wakimbizi wenyewe.

Yaliyomo katika Kitabu hiki cha mazoezi ni kama vile sura za Usafiri, Maisha ya siku za kwanza za mhamiaji nchini Canada. Hii inagusia mambo kama vile makazi, afya, elimu, ajira, bajeti na usafiri nchini Canada. Pia kitabu kinataja mambo muhimu kuhusu afya ya akili, watu wa asili inchini Canada, utofauti katika sifa za kijinsia, utambulisho wa kiuana, udhihirishaji wa kiuana, au mwelekeo wa kijinsia na ulemavu.

Kina zungumuzia mambo ya lugha mbili muhimu Canada, kikizizitiza ndimi za kifaranza.

Katika kitabu kizima kuna habari kuhusu utofauti, haki na uajibikaji, sheria za kijamii na mila tofauti yakiwemo.

For more information about the programme, please visit the COA web page.

The Canadian Orientation Abroad (COA) programme is a global initiative funded by Immigration, Refugees and Citizenship Canada (IRCC) and implemented worldwide by the International Organization for Migration (IOM) in about 100 locations annually.

The COA Economic Mobility Pathways Pilot Participant Workbook presents practical information that economic migrants need to know before they settle in Canada, so they can make informed decisions about their new life. Information contained in the workbook is presented in simple language and in a visual manner that both conveys meaning and aids in retention. It is a tool used during in-person pre-arrival orientation sessions and during refugees’ self-study.

The COA Economic Mobility Pathways Pilot Participant Workbook was developed in consultation with IRCC, external partner organizations who assist economic mobility pathways pilot migrants, field experts and migrants themselves.

The workbook covers topics, such as travel preparation, initial settlement and life in Canada, which includes services, housing, health, education, employment, budgeting and transportation. It contains tailored information on mental health, Indigenous Peoples in Canada, diverse sexual orientation, gender identity and expression, sexual characteristics, as well as information about people with disabilities. It also includes a section on the linguistic duality of Canada and information about Francophone communities. Throughout the workbook, content on diversity, rights and responsibilities, family law and cultural norms is included.

  • Maagizo ya kutumia misimbo ya QR
  • Ishara
  • Mazoezi
  • Hiki Kitabu kinamfaa nani?
  • Fomu ya idhini kwa IOM kushiriki maelezo yako na watoa huduma nchini Canada
  • 1. Maelezo ya jumla kuhusu Canada ukurasa
  • 2. Usafiri
  • 3. Usaidizi na Huduma
  • 4. Makazi
  • 5. Afya
  • 6. Elimu
  • 7. Ajira
  • 8. Kutayarisha bajeti
  • 9. Usafiri
  • Ramani za utaratibu