Search for books
Displaying 1 - 3 of 3
Лоиҳаи Нишондиҳандаҳои Идоракунии Муҳоҷират (НИМ) хулосаи соҳаҳои хуб рушдёфтаи идоракунии муҳоҷират дар Тоҷикистон ва инчунин соҳаҳои дорои рушди минбаъдаро, ки тавассути НИМ арзёбӣ шудааст, пешниҳод мекунад. НИМ маҷмӯи тақрибан 90 нишондиҳандаи стандартӣ буда, ба кишвар дар арзёбӣ намудани… Read More
World Migration Report 2020 (Swahili): Chapter 3
Uhamiaji na wahamiaji: Sifa na maendeleo ya kikandaSura ya 3 inatoa majadiliano ya sifa muhimu za kikanda za, na maendeleo katika, uhamiaji. Mjadala huo unazingatia kanda sita za ulimwengu, yaani Afrika, Asia, Ulaya, Amerika ya Kusini na Karibiani, Amerika ya Kaskazini na Oceania. Kwa kila mojawapo ya kanda hizi, uchambuzi unahusisha:
Uhamiaji wa kimataifa ni tukio changamano linalohusisha vipengele vingi vya kiuchumi, kijamii na kiusalama ulimwenguni kote. Katika sura hii ya muhtasari wa chapisho kuu la IOM, Ripoti ya Uhamiaji Duniani 2020, wasomaji wataweza kupata ufahamu kuhusu mienendo muhimu, data na habari kwa ufupi.