Search for books
Displaying 1 - 2 of 2
Waraka huu unatokana na tathmini ya Viashiria vya Usimamizi wa Uhamiaji katika Eneo Mahususi (MGI) huko Mombasa na unatoa maelezo mafupi kuhusu maeneo yaliyoendelezwa sana ya miundo ya usimamizi wa uhamiaji katika mji huo, pamoja na maeneo yenye uwezo wa kuweza kuendelezwa zaidi, kwa mujibu wa… Read More
Sura ya 3 inatoa majadiliano ya sifa muhimu za kikanda za, na maendeleo katika, uhamiaji. Mjadala huo unazingatia kanda sita za ulimwengu, yaani Afrika, Asia, Ulaya, Amerika ya Kusini na Karibiani, Amerika ya Kaskazini na Oceania. Kwa kila mojawapo ya kanda hizi, uchambuzi unahusisha: