Rechercher des livres
Displaying 1 - 2 of 2
Sura ya 3 inatoa majadiliano ya sifa muhimu za kikanda za, na maendeleo katika, uhamiaji. Mjadala huo unazingatia kanda sita za ulimwengu, yaani Afrika, Asia, Ulaya, Amerika ya Kusini na Karibiani, Amerika ya Kaskazini na Oceania. Kwa kila mojawapo ya kanda hizi, uchambuzi unahusisha:
Uhamiaji wa kimataifa ni tukio changamano linalohusisha vipengele vingi vya kiuchumi, kijamii na kiusalama ulimwenguni kote. Katika sura hii ya muhtasari wa chapisho kuu la IOM, Ripoti ya Uhamiaji Duniani 2020, wasomaji wataweza kupata ufahamu kuhusu mienendo muhimu, data na habari kwa ufupi.