Buscar libros
Displaying 1 - 8 of 8
Waraka huu unatokana na tathmini ya Viashiria vya Usimamizi wa Uhamiaji katika Eneo Mahususi (MGI) huko Mombasa na unatoa maelezo mafupi kuhusu maeneo yaliyoendelezwa sana ya miundo ya usimamizi wa uhamiaji katika mji huo, pamoja na maeneo yenye uwezo wa kuweza kuendelezwa zaidi, kwa mujibu wa... Read More
Sura ya 3 inatoa majadiliano ya sifa muhimu za kikanda za, na maendeleo katika, uhamiaji. Mjadala huo unazingatia kanda sita za ulimwengu, yaani Afrika, Asia, Ulaya, Amerika ya Kusini na Karibiani, Amerika ya Kaskazini na Oceania. Kwa kila moja ya kanda hizi, uchambuzi unahusisha:
Sura hii inatoa maelezo ya kijumla ya data na mienendo ya ulimwengu mzima ya wahamiaji wa kimataifa na uhamiaji wa kimataifa. Pia inatoa majadiliano kuhusu vikundi maalumu vya wahamiaji - yaani wafanyikazi wahamiaji, wakimbizi, waomba hifadhi na wakimbizi wa ndani – pamoja na athari za UVIKO-19 kwa... Read More
Uhamiaji wa kimataifa ni tukio changamano linalohusisha vipengele vingi vya kiuchumi, kijamii na kiusalama kote ulimwenguni. Katika sura hii ya maelezo ya kijumla ya chapisho kuu la IOM, Ripoti ya Uhamiaji Duniani 2022, wasomaji wataweza kupata mienendo muhimu, data na habari kwa mtupo wa jicho.
This summary brief in Swahili accompanies the English-language publication Assessing the Evidence: Migration, Environment and Climate Change in the United Republic of Tanzania and is intended for use by policymakers and practitioners.
Sura ya 3 inatoa majadiliano ya sifa muhimu za kikanda za, na maendeleo katika, uhamiaji. Mjadala huo unazingatia kanda sita za ulimwengu, yaani Afrika, Asia, Ulaya, Amerika ya Kusini na Karibiani, Amerika ya Kaskazini na Oceania. Kwa kila mojawapo ya kanda hizi, uchambuzi unahusisha:
Sura hii inatoa muhtasari wa data na mienendo ya ulimwengu mzima ya wahamiaji wa kimataifa na uhamiaji wa kimataifa. Pia inatoa majadiliano kuhusu vikundi maalum vya wahamiaji - yaani wafanyikazi wahamiaji, wakimbizi, waomba hifadhi na wakimbizi wa ndani - pamoja na pesa zinazotumwa. Zaidi ya hayo... Read More
Uhamiaji wa kimataifa ni tukio changamano linalohusisha vipengele vingi vya kiuchumi, kijamii na kiusalama ulimwenguni kote. Katika sura hii ya muhtasari wa chapisho kuu la IOM, Ripoti ya Uhamiaji Duniani 2020, wasomaji wataweza kupata ufahamu kuhusu mienendo muhimu, data na habari kwa ufupi.