Original Language
Swahili
ISBN (PDF)
978-92-9268-943-8
Number of Pages
76
Reference Number
PUB2024/012/L/3
Year of Publication
2024
Hide Region
Region
Worldwide
Hide all countries
Country
Worldwide

World Migration Report 2024: Chapter 3 (Swahili)

Ripoti ya Uhamiaji Duniani ya 2024: Uhamiaji na wahamiaji: Sifa na maendeleo ya kikanda
Also available in:

Sura ya 3 inatoa mjadala wa vipimo muhimu vya kikanda vya, na maendeleo katika, uhamiaji. Majadiliano hayo yanalenga kanda sita za dunia za Umoja wa Mataifa, ambazo ni Afrika, Asia, Ulaya, Amerika ya Kusini na Karibiani, Kaskazini mwa Amerika na Oceania.  Kwa kila moja ya kanda hizi, uchanganuzi unajumuisha: 

  1. Muhtasari na mjadala mfupi wa takwimu muhimu zinazohusiana na idadi ya watu; na

  2. Maelezo mafupi ya “sifa na maendeleo makuu” katika uhamiaji kwenye ukanda, kulingana na data anuwai, taarifa na uchanganuzi, yakijumuisha yanayotoka kwa mashirika ya kimataifa, watafiti na wachanganuzi.

Kwa ujumla, sura hii inaangazia tofauti muhimu katika kanda na kanda ndogo, pamoja na uchangamano unaoongezeka katika mienendo ya uhamiaji duniani kote. Tofauti na uchangamano huu huangazia mfanano na tofauti kuu katika mienendo ya muda mrefu ya uhamiaji, ikionyesha fursa muhimu na changamoto za uundaji wa sera zinazovuka mipaka ya nchi na za kimataifa.